Thursday, 24 August 2017

Willian naye atajwa Barcelona

Kiungo na winga wa Chelsea, Willian da Silva Borges mwenye miaka 29 anatajwa kuhusishwa na mpango wa kujiunga na Barcelona inayosaka saini ya winga atakayeweza kuziba pengo la Neymar aliyeuzwa kwenda PSG.

Inaelezwa kuna mazungumzo kati ya pande mbili juu ya usajili wa nyota huyo ambaye mpaka sasa amefanikiwa kutwaa mataji mawili ya ligi kuu Uingereza na klabu hiyo ya Chelsea yenye makao yake jijini London.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.