Nyota na kinda wa Juventus, Mario Lemina amefanikiwa kujiunga na klabu ya Southampton ya Uingereza kwa dau lililovunja rekodi klabuni hapo, kiasi cha paundi milioni 18.
Lemina mwenye miaka 23 amejiunga kwa mkataba wa miaka 5 klabuni Southampton akitokea Juventus aliyoichezea kwa miaka 2 aliposajiliwa akitokea Olympique Marseille aliposajiliwa kwa paundi milioni 7.5
No comments:
Post a Comment