Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale haonekani kuendelea kuwepo katika kikosi hicho kilicho chini ya kocha mfaransa, Zinedine Zidane.
Chelsea imeingia kwenye vita ya kumtaka nyota huyo anayetajwa pia kuwaniwa na Man utd.
Gareth Bale anaonekana kuwa na wakati mgumu katika kikosi cha Zidane huku akiandamwa na majeruhi mengi yaliyomfanya msimu uliopita akiushuhudia akiwa nje akiuguza majeruhi.
No comments:
Post a Comment