Winga machachari na mwenye sifa kubqa ya kasi, Jesus Navas amejiunga na klabu yake ya zamani Sevilla akitokea Manchester city.
Jesus Navas mwenye miaka 31 amejiunga na klabu hiyo kwa dau la paundi milioni 14. Navas aliyeichezea Manchester city kwa misimu minne na kufunga magoli 4.
Amerudi klabuni Sevilla ya nchini Hispania ambapo ndiyo klabu aliyokuwa anaichezea kabla ya kwenda Uingereza.
No comments:
Post a Comment