Nyota wa Chelsea raia wa Uingereza, Lewis Baker amesaini mkataba mpya wa kuendelea kuichezea na kuwa mchezaji wa Chelsea kwa mkataba wa miaka 5 na amejiunga kwa mkopo na klabu inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini Uingereza maarufu kama Championship, Middlesbrought.
Nyota huyo aliyezalishwa na akademi ya kulea vipaji ya Chelsea akiisaidia kushinda mataji kadhaa aliitumikia pia klabu ya Vitesse aliyoichezea kwa mkopo msimu uliopita na kuisaidia kutwaa taji la ligi la nchini humo.
No comments:
Post a Comment