Monday, 7 August 2017

Tajiri atarakiana na mkewe

Mmiliki wa Chelsea, Roman Abramovich anakaribia kutarakiana na mke wake Dasha Zhurkova ambaye ni mtoto wa bilionea wa kirusi.

Abramovich ambaye aliinunua Chelsea mwaka 2003 na alikutana na mke wake huyo ambaye wamefanikiwa kupata watoto wawili alikutana nae mwaka 2005.

Zhukova ni msanii akimiliki baadhi ya kampuni zinazojihusisha na usanii na kutalakiana na tajiri huyo uhusiano wao utabaki kama marafiki wa kawaida wakisaidiana katika kulea.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.