Kikosi cha Chelsea katika mchezo wa leo dhidi ya Burnley utakaochezwa saa 17:00 kwa saa za ukanda wa GMT+3.
Wachezaji watakaokosekana ni Eden Hazard, Pedro Rodriguez na Tiemoue Bakayoko ambao wote wanauguza majeruhi. Victor Moses akitumikia adhabu baada ya kupata kadi nyekundu katika mchezo wa fainali ya kombe la FA.
Lakini pia Alvaro Morata ataanzia benchi huku kwa namba yake ikiendelea kuchezwa na Michy Batshuayi.
No comments:
Post a Comment