Kinda wa Chelsea, Mario Pasalic anajiandaa kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuwa mchezaji wa Chelsea. Lakini baada ya kusaini mkataba huo atajiunga kwa mkopo kwenye klabu ya Spartack Moscow ya nchini Urusi
Pasalic alisajiliwa misimu mitatu iliyopita na mpaka sasa hajafanikiwa kucheza mchezo wowote akiwa kama mchezaji wa Chelsea ambapo kipindi chote hicho alikuwa anatolewa kwa mkopo akizichezea timu kama AC Milan ya Italia, na Elche ya Hispania.
No comments:
Post a Comment