Sunday, 13 August 2017

Nani kucheza na Kante kwenye mchezo vs Tottenham

Swali lililopo mpaka sasa juu ya nani wa kucheza sambamba na N'golo Kante katika nafasi ya kiungo katika mchezo ujao dhidi ya Tottenham Hotspurs.

Katika mchezo wa jana, Chelsea dhidi ya Burnley, wachezaji wawili wa Chelsea ambao ni Gary Cahill na Cesc Fabregas ambapo kadi hizo zitamaanisha wachezaji hao watakosekana katika mchezo ujao ambao ni dhidi ya Tottenham. Haswa kigugumizi kipo juu ya nafasi ya kiungo ukizingatia Chelsea ina viungo watatu tu msimu huu ambao ni N'golo Kante mwenyewe, Cesc Fabregas mwenye adhabu ya kukosa mchezo mmoja na Tiemoue Bakayoko mwenye majeruhi.

Je unataka kujua ni nani atacheza sambamba na Kante? Majibu nimekuwekea hapa.

Mpaka sasa hivi inaonekana ni David Luiz ndo ataweza kupandishwa kutoka kuwa mlinzi wa kati mpaka nafasi hiyo ya kiungo aliyowai kuichezea kabla alipokuja Chelsea mara baada ya Nemanja Matic kukosekana, ye ndo alicheza.

Lakini pia licha ya hivo, Chelsea inashambuliwa na wachezaji wengi kuwa majeruhi, na huenda ikamkosa kinda Jeremie Boga na ikaendelea pia kumkosa Pedro Rodriguez kwa maana hiyo huenda hii ikamaanisha Alvaro Morata akapandishwa na kucheza kama mshambuliaji wa pembeni. Lakini pia kwa nafasi ya David Luiz akacheza mmoja wapo kati ya Rudiger au Christensen. Yaani kwa ujumla kikosi kinaweza kuwa kama hivi;

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.