Kinda wa Chelsea Kennedy wa Chelsea anafanya mazoezi mwenyewe kuwa sawa mara baada ya kurudishwa na timu alipokuwa kwenye ziara sambamba na timu.
Alirudishwa kurudi London baada ya kupata shutuma baada ya kutuma picha na ujumbe uliolalamikia kuwazalilisha wananchi wa China ambapo Chelsea ilikuwa huko kucheza michezo yake ya kirafiki.
Lakini pia anafanya mazoezi akiwa anawasubiri wenzake warudi ajumuike nao kwa pamoja ingawa huenda akapokea adhabu kutoka kwa chama cha soka nchini Uingereza, FA ambao wao wanafanya uchunguzi juu ya shutuma hizo, na kama ikionekana kweli alitenda kosa basi atapokea adhabu kali kutoka kwa chama hicho.
No comments:
Post a Comment