Kinda mwenye uraia wa Nigeria, Kelechi Iheanacho ambaye ni mchezaji wa Manchester city amefanyiwa vipimo na klabu ya Leicester city ili kujiunga na klabu hiyo.
Iheanacho anatajwa kujiunga na Leicester kwa dau la paundi milioni 25 ambapo ameonekana ndani ya kikosi cha Pep Guardiola hana nafasi, akicheza kama mshambuliaji.
No comments:
Post a Comment