Sisi kama Chelsea Swahili tunaungana kwa pamoja na mashabiki wote wa Chelsea duniani kote kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa kwa Willian Borges, nyota wa Chelsea na mchezaji bora wa Chelsea wa ndani kwa msimu wa 2015-2015.
Eden Hazard ambaye naye ni nyota wa Chelsea ametuma picha akiwa na nyota huyo mbrazili kumtakia heri ya kuzaliwa akielezea jinsi anavyofurahishwaga na nyota mwenzake huyo kwa vituko vyake. Hapa nitakuletea historia ya nyota huyu.
Happy Birthday Willian
Miaka 29
09-Agosti-1988
Miaka 29
09-Agosti-1988

No comments:
Post a Comment