Wednesday, 2 August 2017

PL; Siku 9 zimebaki

Zimebaki siku 9 ambazo ni sawa na masaa 216 kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu Uingereza maarufu kama Premier League. 2017-2018.

Chelsea mpaka sasa ikiwa chini ya Antonio Conte imeshafanya usajili wa nyota zaidi ya kumi wakiwamo Tiemoue Bakayoko, Antonio Rudiger aliyesajiliwa akitokea AS Roma, Alvaro Morata aliyesajiliwa kwa dau nono akitokea Real Madrid, Michy Batshuayi aliysejaliwa na Conte msimu uliopita akitokea Olympique Marseille, N'golo Kante naye alisajiliwa dirisha sawa na Batshuayi akiongozana akitokea Leicester city na Marcos Alonso aliyesajiliwa akitokea Fiorentina, Willy Caballero ambapo kwa jina lake la Caballero lina asili ya lugha ya kihispania ambapo kwa kiingereza linamaanisha gentleman wakati kwa kiswahili linamaanisha mwanaume mwenye heshima zake, na wengine kibao.

Mchezo wa Chelsea wa kwanza katika ligi kuu Uingereza itaanza kucheza na Burnley katika uwanja wa Stamford Bridge tarehe 12-Agosti-2017

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.