Thursday, 3 August 2017

Chelsea kuipindua Man utd

Chelsea inajiandaa kuipindua Man utd juu ya mlinzi wa kulia wa PSG, Serge Aurier ambaye ni raia wa Ivory Coast.

Man utd walikubali ofa ya kumsajili mlinzi huyo wa PSG ambapo walikuwa tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 27. Lakini Chelsea na wao wameingia katika usajili huo ingawa dau halijatajwa rasmi kwamba ipo tayari kutoa kiasi gani.

Lakini kama unamkumbuka mlinzi huyu ndio yule aliyewai kuingia katika ugomvi na kocha wa PSG kipindi hicho, Blanc na mshambuliaji mkongwe Ibrahimovic ambaye naye alikuwa anaichezea PSG akidai kocha wake huyo na mchezaji huyo walikuwa wanajihusisha na vitendo vya kishoga.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.