Wednesday, 2 August 2017

Chelsea bado yamtaka Barkley

Chelsea bado inamuwania kwa karibu nyota na winga wa Everton, Ross Barkley.
Chelsea imeingia katika mpango huo ikiwa na upinzani kutoka kwa Tottenham ambayo ipo tayari kutoa paundi milioni 20 dau ambalo Everton wamelikataa wakati wao wanataka paundi milioni 50.
Klabu ya Chelsea inawafukuzia wachezaji watatu ambao wote ni raia wa Uingereza ambao ni Barkley mwenyewe, Alex Oxlade Chamberlain wa Arsenal  na Danny Drinkwater wa Leicester city.
Kocha wa Everton, Ronald Koeman alisema Ross Barkley ameomba kuuzwa klabuni hapa ili akatafute timu atakayopata changamoto mpya.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.