Chelsea inajiandaa kutimiza mchezaji mwengine mara baada ya klabu ya Inter Milan kumruhusu winga wake Antonio Candreva kujiunga na Chelsea, klabu ambayo imekuwa ikimfukuzia.
Inter Milan wanataka kuipambania saini ya nyota Keita Balde ambaye wanamfukuzia kwa muda na wanataka kumuuza Candreva kwa Chelsea ili ipate pesa ya kumsajili Keita.
Lakini pia klabu hiyo imegoma kumuuza winga Ivan Perisic kujiunga na Man utd.
No comments:
Post a Comment