Baada ya kutumia misimu miwili na nusu wakiwa wote klabuni Chelsea, kocha Jose Mourinho na kiungo mserbia Nemanja Matic wameungana tena.
Jioni ya leo lile dili lililokuwa na 95% ili kukamilika la mchezaji huyo Nemanja Matic kuungana na kocha Mourinho limekamilika mara baada ya kiungo huyo kusaini mkataba huo wenye thamani ya paundi milioni 40.
No comments:
Post a Comment