Nyota wa Barcelona na raia wa Brazil, Neymar Jr ameipa masharti klabu inayomfukuzia kwa karibu nyota huyo klabu ya PSG mara baada ya kuiagiza klabu hiyo kama ina nia ya kumsajili nyota huyo basi watenge fungu ili kumsajili rafiki yake wa muda mrefu, Phillipe Coutinho anayeichezea Liverpool.
Nyota huyo anamtaka nyota huyo atue klabuni hapo ndipo nayeye ataihama Barcelona na kuamia kwa matajiri hao wa Ufaransa.
No comments:
Post a Comment