Mshambuliaji wa Barcelona raia wa Argentina, Lionel Messi amepanga kusaini mkataba mpya wa klabu yake hiyo baada ya kutoka katiks fungate (honeymoon).
Messi alifunga ndoa na mke wake siku ya ijumaa na amepanga baada ya kumaliza fungate ndio atarudi Cataluna kitongoji kinachopatikana klabu yake hiyo na kufanya taratibu za kusaini mkataba mpya.
No comments:
Post a Comment