Klabu ya Everton imefanya usajili mwengine baada ya kumsajili mlinzi wa Everton, Michael Keane. Klabu hiyo imetoa £30milioni katika kumsajili mlinzi huyo.
Everton mpaka sasa imeshatumia £90milioni katika kufanya usajili kuelekea msimu mpya.
{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater}
The moment you come is the moment we let you go away
{facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
No comments:
Post a Comment