Monday, 31 July 2017

Man utd wamfukuzia kinda wa Chelsea

Klabu ya Manchester united imewatuma maskauti wake kwenda kumwangalia kinda wa Chelsea anayecheza kwa mkopo Swansea, Tammy Abraham.

Skauti Stephen McCarthy alitumwa kwenda kumwangalia nyota huyo katika mchezo dhidi ya Swansea iliyomenyana na Birmingham katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya ambapo kinda huyo aliifungia Swansea goli moja na mpaka mpira kuisha klabu yake ilishinda 2-0.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.