Monday, 31 July 2017

Heri siku ya kuzaliwa kwa Antonio Conte

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa kocha Antonio Conte ambapo alizaliwa tarehe kama ya leo miaka 48 iliyopita. Aliichezea Lecce akiwa kinda na kufanikiwa kuichezea klabu ya Juventus ambapo aliichezea na kupata nayo mafanikio makubwa huku akiliwakilisha taifa lake la Italia vyema.

Alikuja Chelsea kama kocha msimu wa mwaka jana na kuwa na kazi kubwa ya kuirudishia makali yake mara baada ya klabu hiyo kuwa na msimu mbovu, lakini alipofika akairudisha kwenye makali yake na kufanikiwa kutwaa nayo taji la ligi kuu Uingereza na kuifikisha fainali ya kombe la FA.

Leo nitakuletea historia yake nzima kuhusu maisha yake kwa ujumla na yapi usiyoyajua kuhusu mtoto wa kiitalia, Antonio Conte

Happy Birthday Antonio Conte

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.