Wednesday, 26 July 2017

Madrid bado wamtaka Hazard

Klabu ya Real Madrid imedai ingawa kwa sasa wanafukuzia kwa karibu nyota wa AS Monaco, Kylian Mbappe lakini matakwa yao juu ya mchezaji nyota wa Chelsea, Eden Hazard bado yapo.

Klabu hiyo imeyasema hayo mara baada ya kuripotiwa kwamba klabu ya Manchester city imeanza mazungumzo na AS Monaco kumsajili nyota huyo.

Gazeti moja la kihispania linaripoti kwamba kama ikatokea mabingwa hao wakakosa kumsajili Mbappe basi ile nguvu na jitihada zote zitaamia kwa Eden Hazard ambaye kwa sasa ni majeruhi.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.