Leicester city wanataka kutumia pesa kumchukua mshambuliaji wa Manchester city, Kelechi Iheanacho.
Iheanacho amekuwa na msimu mgumu chini ya kocha Pep Guardiola anayeonekana kutomwamini kabisa. Leicester ipo tayari kutoa paundi milioni 25 ili kumchukua nyota huyo mwenye uraia wa Nigeria.
No comments:
Post a Comment