Sunday, 30 July 2017

Chalobah na Terry

Nathaniel Chalobah, kinda wa Chelsea aliyeuzwa kwenda Watford ya Uingereza jana alikutana na gwiji wa Chelsea, John Terry aliyejiunga na Aston Villa ili kumalizia soka lake huko.

Wachezaji hao walikutana katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na msimu mpya, mchezo huo ambao uliisha kwa kutoshana nguvu kwa sare ya 0-0.

Chalobah atakutana na klabu yake ya zamani ambapo Watford inashiriki ligi kuu Uingereza sawa na Chelsea wakati John Terry baada ya kuichezea Chelsea kwa muda mrefu hakutana kukutana na Chelsea tena yaani kucheza timu ambayo inashiriki ligi kuu nchini humo na badala yake akajiunga na klabu ya Aston Villa inayoshiriki ligi daraja la kwanza maarufu kama Championship.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.