Saturday, 29 July 2017

Kuelekea mechi vs Inter Milan

Jumamosi ya leo kutakuwa na mchezo mwengine wa kirafiki wa ICC ambapo nchini Singapore, Chelsea itacheza mchezo wake wa mwisho kabla ya kukutana na Arsenal katika ngao ya hisani tarehe 06-Agosti.

Katika mchezo huo, Antonio Conte ametoa maelezo ya kuelekea mchezo ambapo kwa taarifa kubwa kasema "huu ni mchezo wa mwisho kabla ya kukutana na Arsenal kwenye Ngao ya hisani, hii inamaanisha nitapanga kikosi cha kwanza maana hapa ndo kama naangalia kikosi cha kwanza kitakuwaje" alisema kocha huyo muitaliano.

Kwa maana hiyo inategemewa mchezaji mpya Alvaro Morata huenda akawa katika kikosi cha kwanza katika mchezo huo.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.