Monday, 31 July 2017

Coutinho alazimisha kuuzwa

Nyota wa Liverpool, Phillip Coutinho mwenye uraia wa Brazil inasemekana kaanza kuomba kuuzwa klabuni hapo na anataka kujiunga na wababe wa Hispania, Barcelona.

Barcelona inamtaka mchezaji huyo ili kuziba pengo la nyota mwengine wa kibrazil klabuni hapo, Neymar ambaye anatajwa kuwaniwa kwa karibu na PSG. Lakini pia Mesut Ozil anatajwa kuwaniwa na klabu hiyo ya Barcelona.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.