Monday, 31 July 2017

Dembele atakiwa na Conte

Nyota kinda wa Celtic, Karamoko Dembele mwenye kipaji cha hali ya juu anayetabiriwa makubwa amehusishwa na tetesi za kujiunga na Chelsea.

Dembele mwenye uraia wa Scotland amehusishwa na kutua Chelsea baada ya kipaji chake kikisifika na kutabiriwa kuwa Messi wa baadae. Kwa sasa ana miaka 14 na Chelsea itapata upinzani kutoka kwa Manchester city ambayo nayo inawania saini ya kinda huyo.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.