Monday, 3 July 2017

Conte; fanyeni haraka kwa Lukaku

Antonio Conte ameiambia Chelsea kwamba kama wameambia dau la kumsajili Lukaku ni £100milioni basi klabu hiyo isipoteze muda na badala yake ifanye haraka sana itoe dau hilo ili mshambuliaji huyo asajiliwe ndani ya Chelsea.
Conte amepanga kukiimarisha kikosi chake hicho kuelekea msimu mpya ambapo Chelsea itashiriki kwa mara nyengine michuano ya Uefa mara baada ya msimu uliopita kushindwa kufanya hivyo.
Mpaka sasa Chelsea inawafukuzia wachezaji watatu ambao inataka iwasajili ili kuimatisha kikosi chao. Wachezaji hao ni Bakayoko wa Monaco ya Ufaransa, Alex Sandro wa Juventus na Romelu Lukaku raia wa Ubelgiji aliyekuwa mfungaji bora ndani ya Everton msimu uliopita.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.