Baada ya kuzunguka klabu tofauti kwa mkopo kama Napoli na Watford, kiungo kinda wa Chelsea aliyetokea kwenye akademi ya Chelsea, Nathaniel Chalobah amepata ofa ya kutakiwa na klabu ya Swansea iliyo vhini ya kocha wa zamani wa Chelsea, Paul Clement.
Chalobah ambaye ni raia wa Uingereza amrpata ofa ya kwenda Swansea kwa mkopo ambayo pia inamtaka mshambuliaji kinda wa Chelsea aliye kwa mkopo Tammy Abraham.
No comments:
Post a Comment