Antonio Conte bado anataka kukijenda kikosi chake cha Chelsea kuelekea msimu mpya. Kocha huyo bado hajaridhika na uhamisho alioufanya mpaka sasa na sasa ameifata klabu ya Everton.
Inataarifiwa Chelsea inataka kupeleka dau kwa klabu hiyo iliyokuwa nchini siku kadhaa zilizopita na Conte anatajwa kumuwania nyota na kinda wa kikosi hicho, Tom Davies.
Tom Davies mwenye miaka 19 anatakiwa na Chelsea ambayo inajipanga na msimu mgumu utakaokuwa na michezo mingi kwa vile sasa imefuzu kucheza ligi ya mabingwa ulaya maarufu kama Uefa Champions.
No comments:
Post a Comment