Mashabiki wa Chelsea nchini Kenya watacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya mashabiki wa Manchester united wa huko huko nchini Kenya.
Mchezo ambao utachezwa kwenye viwanja vya UoN vya nchini humo. Watakutana hapo kwenye saa 10:30 asubuhi na kucheza mechi saa 11:30 asubuhi kesho jumapili tarehe 30-Julai.
Mashabiki hao wa nchini humo wana lengo la kuendeleza ukaribu na urafiki zaidi baina yao huku wakiwa na lengo la kunufaika na urafiki wao kwa mapenzi yao ya timu wanazoshabikia.
No comments:
Post a Comment