Saturday, 29 July 2017

Candreva apigiwa hesabu na Chelsea

Bado Chelsea inaendelea kumfukuzia mchezaji wa Inter Milan ambapo katika mchezo wa leo baina ya timu hizo mbili atakuwepo.

Antonio Candreva amekuwa ni moja ya wachezaji wanaotakiwa na Antonio Conte klabuni Chelsea ambapo msimu ujao timu hiyo itakuwa ipo 'busy' viwanjani ikiwa katika michuano minne tofauti.

Conte anamtazama Candreva anayetajwa kuwa na thamani ya paundi milioni 25 awe mchezaji wa kuchukua nafasi kwa Victor Moses endapo akikosekana.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.