Siku ya leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mchezaji wa zamani wa Real Madrid na Spain, Raul Gonzalez ambapo alizaliwa tarehe 27-June-1977 ambapo siku ya leo anatimiza miaka 40.
Jambo kubwa ambalo labda ulikuwa hulijui kuhusu huyu jamaa huyu, alikuwa kila akifunga goli alikuwa na kawaida ya kubusu kwenye kidole ambacho alikuwa anavaa pete ya ndoa aliyofunga na mke wake Mamen Sanz ambaye wamejaaliwa kupata watoto 4 mpaka sasa.
Happy Birthday Raul Gonzalez
No comments:
Post a Comment