Sunday, 21 May 2017

Kante mchezaji bora wa msimu

Kiungo wa chelsea Ng'olo kante Meshinda tuzo ya tatu msimu huu na kuwa moja wa mwaka wenye mafanikio makubwa kwenye maisha yake ya soka.

Kante ambaye msimu uliopita alishinda Ligi akiwa na chelsea,ameingia kene orodha ya wachezaji wenye bahati zaidi baada ya kuweza kunyakua Ligi miaka miwili mfululizo akiwa na Timu tofauti.

Habari zaidi kufuata.........

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.