Dennis Wise ambaye aliwai kuwa mchezaji wa Chelsea ndiye atakayelibeba kombe la Ligi kuu Uingereza siku ya leo jioni kulileta uwanjani. Chelsea katika mchezo wa leo dhidi ya Sunderland ndio itakabidhiwa mwali wao huyo ambapo pia ndo utakuwa mchezo wa mwisho wa ligi hiyo msimu huu.
No comments:
Post a Comment