Ujumbe ambao unaonesha kuwa conte hamuhitaji tena mshambuliaji huyo klabuni hapo licha ya kufunga mabao 22 msimu huu katika mashindano yote.
costa alisema :
"Nimepokea ujumbe mfupi wa maneno kupitia simu yangu ya mkononi kutoka kwa Conte inayosema hana mpango na mimi msimu ujao," Costa aliviambia vyombo vya habari baada ya sare ya 2-2 Hispania dhidi ya Colombia Jumatano.
"Itakuwa kwa sababu nimefanya vibaya mwaka huu. Ni aibu. Nimeutuma ujumbe huu kwa watu wa klabuni kufanya maamuzi, lakini ipo dhahiri kocha hana malengo na mimi na hanitaki tena klabuni.
"Nipo sokoni na kwa maana hii natafuta timu. Kama kocha hana mpango na wewe, ni lazima uondoke."
"Itakuwa vema kurudi Atletico lakini ni lazima nitafakari zaidi," alisema. "Kuna Kombe la Dunia [2018] na nahitaji kucheza. Kuishi miezi minne au mitano bila kucheza ni jambo gumu, lakini watu wanajua kwamba naipenda Atletico sana na wachezaji wenzangu pia, napenda kuishi Madrid."

No comments:
Post a Comment