Mchambuzi wa soka wa Uingereza ambaye alikuwa nyota wa Arsenal, Paul Merson amesema kati ya mambo ambayo anayategemea msimu huu ni kuona mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa anaachana na klabu hiyo na kujiunga na klabu ya China ya Tianjin Quanjin ambao walishaonyesha nia ya kumtaka toka dirisha dogo la usajili la mwezi January.
Tianjin Quanjin wapo tayari kutoa £75milioni ili kumsajili mchezaji huyo lakini pia wapo tayari kumpa Costa mshahara wa £650,000 ambapo hiyo ndo baada ya kukatwa kodi.
No comments:
Post a Comment