Friday, 12 May 2017

Arsenal katika vita ya Chelsea dhidi ya Morata

Arsenal na wao wamejitosa katika vita ya kumuwania Alvaro Morata ambaye pia anatajwa kuhusishwa na kutua Chelsea.

Arsenal ambao mpaka sasa hawajafanya mazungumzo yoyote na nyota wao Alexis Sanchez wamepanga kutafuta mbadala na hivyo kuona Alvaro Morata ameonekana ndiye mtu sahihi atakayeweza kuvaa viatu vya Sanchez ambaye anatajwa kuachana na klabu hiyo na anatazamiwa pia kutua Chelsea.

Morata amekuwa kwenye rada za Man utd, Chelsea na Arsenal ambao wameingia kwenye mbio hizo. Mchezaji huyo amefanikiwa kuingiza mpira wavuni msimu huu mara 20 katika michezo 40 ndani ya Real Madrid.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.