Wednesday, 1 March 2017

Ni tetesi tu jamani Conte bado yupo sana tu

Kumekuwa na taarifa zinazagaa kwamba Antonio Conte kuhusishwa na kuhamia Inter Milan msimu ujao, taarifa hizo ambazo zimeripotiwa na Tuttosport zimesema kwamba tayari Inter Milan washakubaliana na Conte na walikuwa wanafanya mazungumzo na Abramovic ambaye ndiye mmiliki wa timu ili kukubali kuvunja mkataba huo ambao unatakiwa kuisha mwaka 2019, taarifa hizo sio za kweli na hata gazeti la Uingereza la Dailysports halijaandika uhakika wowote juu ya taarifa hizo.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.