Wednesday, 1 March 2017

Batshuayi anaweza kuondoka Chelsea

Mshambuliaji wa Chelsea aliyesajiliwa akitokea Olympique Marseille ya Ufaransa kwa dau la £31milioni (paundi milioni 31), Michy Batshuayi ametajwa kuondoka Chelsea ifikapo kipindi cha usajili kama tu hatoakikishiwa uhakika wa namba katika kikosi cha kwanza ndani ya Chelsea.

Mchezaji huyo ambaye alisajiliwa mwanzoni wa msimu hajafanikiwa kuichezea Chelsea mchezo wowote katika ligi kuu ambapo amekuwa akipambana kumuonyesha Conte kwamba ana uwezo mkubwa wa kuanza katika kikosi cha kwanza lakini Conte anaonekana bado hajaridhika na kiwango chake.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.