Real madrid ya uhispania imiambia klabu ya chelsea Leo kuwa straika wao atawatoza gharama ya Euro milioni 70(€70).
Straika huyo ambaye amecheza italia ndani ya Juventus kwa kipindi cha miaka miwili,hapendezwi na hali ya kutopata namba kikosini real madrid kinacho nolewa na Zizzou na amejikuta akiwa nyuma ya Karimu benzema kama chaguo namba moja.
Licha ya kupata mda mchache uwanjani na kukosa mechi zote za uefa msimu huu,morata ana mabao 15 msimu mzima.
No comments:
Post a Comment