Kiungo mkongwe Cesc Fabregas Ndani ya dakika 9 tu aliweza kupiga pasi sahihi 20 kati ya 21 kushinda mchezaji yeyote wa Man u akiwepo Paul Pogba,kiungo na mchezaji ghari zaidi duniani kwa sasa.
Fabregas aliyeingia mchezoni dakika ya 81 kati ya mchezo wa FA ulioligwa Stamford bridge dhidi ya Man u na Chelsea kuibuka na ushindi wa bao 1 kwa bila lililofungwa na Kante ndiye alikuwa mchezaji bora zaidi kuliko mchezji yeyote wa man u.
No comments:
Post a Comment