Mchezaji nyota wa Lazio ya Italia mwenye uraia wa Serbia, Sergej Milinkovic-Savic ameingia kwenye rada za Chelsea na tayari Chelsea wameshaonyesha nia ya kumtaka mchezaji huyo awepo kwenye kikosi cha Chelsea msimu ujao. Lakini Lazio wanafanya mipango ili kumbakisha mchezaji huyo.
No comments:
Post a Comment