Je wajua?
Chelsea ndio timu pekee iliyotumia mabadiliko ya wachezaji (kufanya substations) zote katika michezo ya ligi kuu Uingereza.
Lakini pia Chelsea ndio timu iliyofunga magoli ya kuongoza katika michezo 21 zaidi ya mara nne kwa timu inayomfata.
No comments:
Post a Comment