Mchezaji nyota wa Chelsea amemtumia ujumbe mke wake katika siku yao kwa kutimiza muda fulani toka kufunga ndoa kwao, ujumbe huo ametumia akisema
"Kama nitapewa nafasi nyengine ya kuishi basi nitakutafuta wewe haraka, ili nikupende zaidi. Heri ya furaha mke wangu ❤"
Nasi kama mashabiki wa Chelsea tunasema hongera kwao....
No comments:
Post a Comment