Antonio Conte ametajwa tena katika tunzo za kocha bora wa mwezi wa ligi kuu Uingereza kwa mwezi wa February ambapo kwenye kipengele hicho anashindana pia na Pep Guardiola wa Manchester city, Jose Mourinho wa Manchester united na Tony Pulis wa West Bromwich Albion.
No comments:
Post a Comment