Eden Hazard ameingizwa katika kuwania goli bora la mwezi February ambapo goli hilo ni lile alilolifunga dhidi ya Arsenal katika mchezo ulioisha kwa Chelsea kushinda magoli 3-1.
Baadhi ya magoli ambayo yanashindania tunzo hizo ni
1. Romelu Lukaku
katika mechi kati ya Everton dhidi ya AFC Bournemouth
2. Mkhitaryan
katika mechi kati ya Leicester dhidi ya Man utd
3. Glyfi Sigurdsson
katika mechi kati ya Man city dhidi ya Swansea
4. Manuel Lanzini
katika mechi ya West Ham dhidi ya West Bromwich
5. Robbie Brady
katika mchezo wa Burnley dhidi ya Chelsea
6. Harry Kane
katika mchezo wa Tottenham dhidi ya Stoke city
7. Drinkwater
katika mchezo wa Leicester dhidi ya Liverpool
Hapa nimekuwekea link ili nawe ukapige kura kwa ajili ya kuchagua goli bora
https://carlingtap.carling.com/goal-of-the-month/2017-2
No comments:
Post a Comment