Ofa ya paundi milioni 38 inasadika kuwekwa juu ya meza kutoka katika moja ya klabu kongwe duniani kutoka italia Ac milano.
Gazeti la carcio mercato la italia lina ripoti kuwa klabu hiyo inafikiria kutoa kitita hicho cha fedha ilo kumnasa oscar emboaba dos santos
No comments:
Post a Comment