Tuesday, 27 September 2016

Conte kuwatumbua akina Cahill?

Tetesi zinazozidi kuenea ulaya ni kuwa meneja wa chelsea muitaliano antonie conte alimaarufu kama the tailor anampango wa kuwatumbua mabeki wake wawili(Cahill na Ivanovic) ambao wameonekana wakiwa na kiwango kibovu tangu mwanzoni mwa msimu.

Conte anaekabiliwa na kibarua kigumu kuhakikisha anatetea kibarua chake kwa kuimarisha kamati yake ya ulinzi,yupo katika mazungumzo na mabeki visikii ambao anaweza kuwasajir January.

No comments:

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://www.facebook.com/photo.php?fbid=1405295759685033&set=t.100007345536843&type=3&theater} The moment you come is the moment we let you go away {facebook#https://www.facebook.com/jeshilangu}
Powered by Blogger.